Soulbrother
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 405
- 17
Jamani wana JF kijana mwenzenu nimechoka kuwepo kuwepo sana kwa hiyo nataka kuoa hivyo nipo kwenye mchakato wa kumpata.
Wasifu wangu
- Umri, miaka 28
- Urefu, futi 6.0
- Dini, mkristu
- Kazi, nimejiajiri
- Kipato, cha wastani
- Napendelea kuchat, kubadilishana mawazo, michezo, muziki na kusikiliza vyombo vya habari na kuangalia filamu za kuchekesha..
Ningependa kupata rafiki/mchumba mwenye sifa hizi japo sio lazima awe nazo zote.
- Umri usiozidi miaka 30
- Asiwe mfupi sana
- Elimu isiyopungua ya sekondari
- Awe anafanya kazi
- Umbo la wastani
- Sibagui rangi (race)
Mwenye sifa hizi au baadhi asisite kutuma PM au aniandikie email kwa
email address meale2005@gmail.com au tuwasiliane kwa simu no. +255 772 884226
Hahahaaaa!! Mkuu mbona ulisema nikiwapata wengi nikugee mmoja! Huyo hakufai?
mPM bwabwa
ndo mtaalamu wa kutafutia watu wachumba huyo????
Kweli?? ngoja na mm nimwone anipigie cross some where there------}
lakini huyu jamaa kweli mchumba atampatia hapa JF ..ina maana hana confidence za kuwaface hapo mtaani kwao,kazini,kijijini ,manesi kibao ,maticha ndo usiseme,,maafande wa UWTZ wamejaa tele ..
Traffic police!!!. Hakuna raha kama kusaula vazi jeupe na kofia kwenye sita kwa sita!
Mbona mimi sina?hapa jf usijaribu!tumeshagawana vimwana bana!labda uwe unasubiri NEW COMERS😀
Mbona mimi sina?
Haaaaaaaa lol!!! umenifurahisha kweli duh!!
Mbona mimi sina?
wewe unaye?
sina ndo maana nimekuuliza bwabwa ndo mtaalamu wa kuwatafutia watu wachumba?? nataka nimconsult...