Natafuta mchumba ambaye baadae tutafunga ndoa

Natafuta mchumba ambaye baadae tutafunga ndoa

Aisatu

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
784
Reaction score
335
Hey guyz!natafuta msichana wa kumuoa,sifa
4m 4
mcha Mungu
mwaminifu
mvumilivu
wakuanzia 1990->
mwenye kuhitaji mawasiliano zaidi aninbox.
 
Mrs.Dago njoo uchangamkie fursa haraka kabla PM hazijajaa
 
Last edited by a moderator:
ila humu 4m 4 utapata kweli... labda la saba kwani commet zao huwa huzionagi badilisha hapo weka la saba!!
 
ila humu 4m 4 utapata kweli... labda la saba kwani commet zao huwa huzionagi badilisha hapo weka la saba!!

La 7 wamepitwa na wakati kwa misingi ya kidigitaly mkuu,4m 4 wapo wengi labda useme hawajaingia jf
 
Hahahahah sifa hizo sina asee wewe wataka wa form four na mie standard seven wapi na wapi teh teh

Lkn cha msingi tabia njema,mcha Mungu,uaminif,uvumilifu.KM UPO TAYARI PM
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom