natafuta mchumba 28 to 45

huyo mr uliezaa nae mlishindwana coz hajiwezi?????????? nina genge la nyanya najiweza unasemaje :rockon:
 
hahahaha,
:rockon:
 
mimi sioni tatizo la kusema anataka bwana mwenye kujiweza, wenyew wanaume wenye akili hatutaki mademu tegemezi, kwahiyo ni sawa tu yeye kusema anataka bwana mwenye kaji-uwezo!
 
HII INAITWA MAKAVU LIVE!! Ukimeza au ukitema ni juu yako!!
 
umesema baba mwenye mtoto anaweza kuwasumbua ebu funguka zaidi hapa
 
kwa hyo hujiwez ndo unataka anayejiweza mim najiweza ila huyo baba mtoto alikuachaje jibu kwanza
 
Kutafuta mume jf mi naona Kama ukahaba vile.Muombe Mungu atakupa mume.ni pm nikupe ushauri
 
Wewe katafute wachumba bank maana ndio unaowataka. Afu pia kwani huko chuoni huoni wanaokufaaa?
 
usijali dada utampata tu kuwa mvumilivu na majibu ya hapa mana watu wa humu hawanaga dogo
 
mm ni mwanamke nasoma chuo
flan hivii hapa tz natafuta mwanaume wakunioa awe ameenda age,awe na
kazi yaan kiufup awe anajiweza,mm nina mtoto mmoja wa kiume if u are
serious karibu kama sio usijisumbue.

kila la kheri tho kubali matusi maana utaonekana wa ajabu mdada kuandika uzi huu wakati menyewe yakiweka yanaona poa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…