M Matumaini Member Joined Jul 31, 2008 Posts 49 Reaction score 8 Aug 24, 2011 #1 Natafuta mchimba kisima kwa ajili ya nyumba yangu Kigamboni. Naomba mwenye contacts za kampuni / mtu anayechimba anipatie. Natanguliza shukrani
Natafuta mchimba kisima kwa ajili ya nyumba yangu Kigamboni. Naomba mwenye contacts za kampuni / mtu anayechimba anipatie. Natanguliza shukrani
mfianchi Platinum Member Joined Jul 1, 2009 Posts 12,111 Reaction score 8,794 Aug 24, 2011 #2 Nenda Maji ubungo ndio kuna wakala wa kuchimba visima,hata wafanyakazi wa hapo wana vikampuni vyao vya uchimbaji visima utawapata tu
Nenda Maji ubungo ndio kuna wakala wa kuchimba visima,hata wafanyakazi wa hapo wana vikampuni vyao vya uchimbaji visima utawapata tu
M Matumaini Member Joined Jul 31, 2008 Posts 49 Reaction score 8 Aug 24, 2011 Thread starter #3 mfianchi said: Nenda Maji ubungo ndio kuna wakala wa kuchimba visima,hata wafanyakazi wa hapo wana vikampuni vyao vya uchimbaji visima utawapata tu Click to expand... Asante ndugu..nitajitahidi kwenda hapo Ubungo Maji
mfianchi said: Nenda Maji ubungo ndio kuna wakala wa kuchimba visima,hata wafanyakazi wa hapo wana vikampuni vyao vya uchimbaji visima utawapata tu Click to expand... Asante ndugu..nitajitahidi kwenda hapo Ubungo Maji
KALYOVATIPI JF-Expert Member Joined Aug 11, 2011 Posts 1,414 Reaction score 199 Aug 24, 2011 #4 mimi ninao jamaa wanaodeal na drilin' 0715999966 unaweza muuliza kuhusu uchimbaji
Original Pastor JF-Expert Member Joined Nov 14, 2007 Posts 1,274 Reaction score 52 Aug 25, 2011 #5 Jamani nyongeza ya swali mita 100 inafaa sana kwa maji ya muda mrefu?? kama utaamua kuchimba na je kwa mita bei gani??
Jamani nyongeza ya swali mita 100 inafaa sana kwa maji ya muda mrefu?? kama utaamua kuchimba na je kwa mita bei gani??
KALYOVATIPI JF-Expert Member Joined Aug 11, 2011 Posts 1,414 Reaction score 199 Aug 25, 2011 #6 Original Pastor said: Jamani nyongeza ya swali mita 100 inafaa sana kwa maji ya muda mrefu?? kama utaamua kuchimba na je kwa mita bei gani?? Click to expand... <br /> <br /> Sasa unaambiwa muulize mtu anayehusika na namba ya simu umepewa wewe unazidi kututwanga maswali.
Original Pastor said: Jamani nyongeza ya swali mita 100 inafaa sana kwa maji ya muda mrefu?? kama utaamua kuchimba na je kwa mita bei gani?? Click to expand... <br /> <br /> Sasa unaambiwa muulize mtu anayehusika na namba ya simu umepewa wewe unazidi kututwanga maswali.
M Matumaini Member Joined Jul 31, 2008 Posts 49 Reaction score 8 Aug 25, 2011 Thread starter #7 simba d said: mimi ninao jamaa wanaodeal na drilin' 0715999966 unaweza muuliza kuhusu uchimbaji Click to expand... Asante Simba D, ngoja niwacheki
simba d said: mimi ninao jamaa wanaodeal na drilin' 0715999966 unaweza muuliza kuhusu uchimbaji Click to expand... Asante Simba D, ngoja niwacheki