Natafuta Mchanga wa Kujengea - Tangi Bovu

Natafuta Mchanga wa Kujengea - Tangi Bovu

Batushabile

New Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
3
Reaction score
0
Tatafuta mchanga wa kujengea nyumba ulio mzuri na bei nzuri. Site ipo Mbezi Beach, Tangi Bovu.
 
kwa dar mchanga uko mwingi sana na sehemu nyingi maana dar karibu yote ni kichanga. kigamboni uko,mbagala mbande upo pia kwa wingi na garama ni gari yako tu maana mwenye eneo lenye mchanga anataka elfu 20 or 30 then unachimba utakao.
 
Lori la double diff la tani 10 au zaidi ni shilingi ngapi? Hii ni pamoja na usafiri?
 
Mkuu KIUKWELI kama bado UNAHITAJI MCHANGA NIFAHAMISHE NIKUJUZE KWANI WAOO KUNA KAKA ZANGU HUKU MBAGALA WANANILETEA MCHANGA KILA WAKATI KWA UJENZI SASA TUWASILIANE KWA PM HAPA...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom