aminiusiamini JF-Expert Member Joined Aug 25, 2011 Posts 3,577 Reaction score 2,226 Sep 3, 2016 #1 Kama kichwa cha habari hapo juu. Ninatafuta mbwa wa kufuga ndani. German shepherd original wawe wadogo kama wanne. Pia kama kuna Siberian husky or golden retriever. Naomba uweke picha hapa na contacts zako. Ahsante
Kama kichwa cha habari hapo juu. Ninatafuta mbwa wa kufuga ndani. German shepherd original wawe wadogo kama wanne. Pia kama kuna Siberian husky or golden retriever. Naomba uweke picha hapa na contacts zako. Ahsante