LOTTI masai Member Joined Aug 28, 2014 Posts 40 Reaction score 9 Sep 20, 2014 #1 Nahitaji mbolea ya kuku gunia 10 kwa yeyote ambae anaweza kunisaidia kunipa conection na wafugaji wa kuku au wanaouza hiyo mbolea
Nahitaji mbolea ya kuku gunia 10 kwa yeyote ambae anaweza kunisaidia kunipa conection na wafugaji wa kuku au wanaouza hiyo mbolea
H hizakemi Member Joined Jan 11, 2011 Posts 5 Reaction score 0 Sep 21, 2014 #2 LOTTI masai said: Nahitaji mbolea ya kuku gunia 10 kwa yeyote ambae anaweza kunisaidia kunipa conection na wafugaji wa kuku au wanaouza hiyo mbolea Click to expand... Ninayo nyingi. mimi ni mfugaji. nipo dsm mbezi beach. kama upo karibu na maeneo hayo nijulishe
LOTTI masai said: Nahitaji mbolea ya kuku gunia 10 kwa yeyote ambae anaweza kunisaidia kunipa conection na wafugaji wa kuku au wanaouza hiyo mbolea Click to expand... Ninayo nyingi. mimi ni mfugaji. nipo dsm mbezi beach. kama upo karibu na maeneo hayo nijulishe
ONTARIO JF-Expert Member Joined Oct 16, 2013 Posts 1,792 Reaction score 17,187 Sep 21, 2014 #3 Kama upo ukonga Mombasa niPM, ipo ya kumwaga on weekly basis.
Qualifier JF-Expert Member Joined Dec 14, 2012 Posts 1,252 Reaction score 407 Sep 21, 2014 #4 Njoo uchukue bure huku Chita
LOTTI masai Member Joined Aug 28, 2014 Posts 40 Reaction score 9 Sep 22, 2014 Thread starter #5 Nashukuru wakuu kwa concern yenu me npo chanika ndipo lilipo eneo nalotaka kutumia mbolea nahisi huyu bwan wa mombasa anaweza kua jirani angalau.Nime kuinbox mkuu
Nashukuru wakuu kwa concern yenu me npo chanika ndipo lilipo eneo nalotaka kutumia mbolea nahisi huyu bwan wa mombasa anaweza kua jirani angalau.Nime kuinbox mkuu
LOTTI masai Member Joined Aug 28, 2014 Posts 40 Reaction score 9 Sep 23, 2014 Thread starter #6 ONTARIO said: Kama upo ukonga Mombasa niPM, ipo ya kumwaga on weekly basis. Click to expand... Mkuu sioni ukijibu nilikuinbox kujua bei yako lakn naona kimya mkuu
ONTARIO said: Kama upo ukonga Mombasa niPM, ipo ya kumwaga on weekly basis. Click to expand... Mkuu sioni ukijibu nilikuinbox kujua bei yako lakn naona kimya mkuu
ONTARIO JF-Expert Member Joined Oct 16, 2013 Posts 1,792 Reaction score 17,187 Sep 24, 2014 #7 LOTTI masai said: Mkuu sioni ukijibu nilikuinbox kujua bei yako lakn naona kimya mkuu Click to expand... Nimekutumia PM...
LOTTI masai said: Mkuu sioni ukijibu nilikuinbox kujua bei yako lakn naona kimya mkuu Click to expand... Nimekutumia PM...