ASHA NGEDELE JF-Expert Member Joined Jul 5, 2011 Posts 784 Reaction score 327 Mar 19, 2018 #1 Habari wakuu.. Natafuta sehemu nayoweza kupata mbolea ya mavi ya kuku nzuri na bei poa. Nalimia kigamboni na ninahitaji viroba 200+. Kama unafahamu sehemu naweza pata naomba nisaidie contacts pls. Asante
Habari wakuu.. Natafuta sehemu nayoweza kupata mbolea ya mavi ya kuku nzuri na bei poa. Nalimia kigamboni na ninahitaji viroba 200+. Kama unafahamu sehemu naweza pata naomba nisaidie contacts pls. Asante
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,444 Reaction score 138,242 May 2, 2018 #2 Unalima nini...[HASHTAG]#ASHANGEDELE...[/HASHTAG] ova
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 39,347 Reaction score 122,328 May 2, 2018 #3 Wanakuja ASHA NGEDELE wasubiri tu!
number41 JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 2,054 Reaction score 1,475 May 2, 2018 #4 Njoo kimara ukanda wa wafugaji utapata au nenda kitunda kwa wakulya mzee humu wengi sio wafugaji wapiga story na ufugaji wa kwenye karatasi tu mi ningekuita ila ndo nimeingiza kuku cku sio nyingi
Njoo kimara ukanda wa wafugaji utapata au nenda kitunda kwa wakulya mzee humu wengi sio wafugaji wapiga story na ufugaji wa kwenye karatasi tu mi ningekuita ila ndo nimeingiza kuku cku sio nyingi
patrick roman New Member Joined May 12, 2014 Posts 1 Reaction score 31 Jan 3, 2019 #5 0712815848 0755976150 Tuwasiliane nina mbolea nyingi nipo kigamboni pia.