Natafuta mbia katika kilimo

Msuya Jr.

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2013
Posts
1,691
Reaction score
901
hello,
wandungu na wana jf wenzangu, nina shamba la hekari 20 mkoa wa kilimanjaro ,wilaya ya moshi vijijini kata ya kahe, karibu na shamba la miwa la TPC (walima miwa ya sukari).
hivo nataka mtu amabaye kweli kabisa ana hasira ya maisha na yuko tayari kujitolea katika kilimo na awe na interest katika kilimo , asilazimishe hobi hii ya kilimo, awe na mapenzi binafsi katika shughuli hii kama ilivo music au fashion,
iwapo atakuwa tayari ni vizuri akawa na mtaji kiasi wa kuanzia,
Maana mimi nitatoa shamba ambalo lina visima 2 vya kumwagilia, pia nitatoa mashine ya kumwagilia shambani.
Hivo mtaji wa kuanzisha kilimo hichi cha kisasa na chenye tija tutachangia mtaji kwa jinsi tutakavyoanza
nataka mtu ambaye yuko tayari kwa shughuli hii maana nina vishughuli vyangu kadhaa katika jiji la makonda ,
mwanasheria atahusika katika haya yote.
aliye tayari contact/whatssap 0674 518 707
 
Kilimo gani kinakubali huko???
almost vitu vyote vinalimwa tz, but focus zaidi kwenye mazao ya mboga mboga, like kitunguu, nyanya, hoho , pilipili kali, bamia etc
 
Wengine tuna hobby na kilimo ila mtaji ndio mtihani ss, Wadau wapenda kilimo mpo wapi changamkieni fursa adimu hii kabla mkuu ajabadili mawazo heka 20 sio mchezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…