Natafuta mbegu za Mninga na Mpingo

Natafuta mbegu za Mninga na Mpingo

Mninga hadi ufikie stage ya kuvunwa si chini ya miaka 20
Nafikiri ni zaidi ya hiyo, pine tu ambao ni mti unaokuwa kwa haraka unachukua hadi 15 years kukomaa vizuri
Huo mpingo ndio balaa , kuna mmoja upo sehemu nimeuona toka nikiwa mdogo , sasa nina 40 years plus , bado upo vile vile, hadi kuwa mti kamili nadhami utachukua miaka 200 plus.
 
Back
Top Bottom