philltaya Member Joined Sep 5, 2015 Posts 53 Reaction score 11 Mar 10, 2017 #1 Ndg zangu wanajopo mimi ni mkulima natafuta njia ya kuwasiliana na wale wachina wanaotoa mbegu ya mihogo yeyote anayejua njia ya kuwasiliana nao tafadhali anijuze haraka
Ndg zangu wanajopo mimi ni mkulima natafuta njia ya kuwasiliana na wale wachina wanaotoa mbegu ya mihogo yeyote anayejua njia ya kuwasiliana nao tafadhali anijuze haraka
S SUPER ZERO Member Joined Feb 1, 2017 Posts 68 Reaction score 52 Mar 10, 2017 #2 Ukipata unishtue na mimi
MAVUNO JF-Expert Member Joined May 29, 2011 Posts 791 Reaction score 664 Mar 11, 2017 #3 uko wapi? kilwa mbegu za kutosha
Neutral Figure JF-Expert Member Joined Mar 8, 2015 Posts 537 Reaction score 201 Dec 1, 2017 #4 MAVUNO said: uko wapi? kilwa mbegu za kutosha Click to expand... Nazipataje mkuu?