natafuta mbao kwa ajili ya kuezekea nyumba yangu 2 *2 na 4*4 pamoja na mabati ya rangi kama ya vigae ambae ana bidhaa original atume bei fasta maana niko likizo kwa ajili ya kazi hii
kaka naomba nitafute please nitakuuzia Mbao vizuri Na utapenda nipo Tegeta njiapanda ya wazo
chonde chonde buguruni kuna matapeli,madalali na wasaniiwalikuwa mabibo baada ya mwananchi ukitokea buguruni sina hakika siku hizi.nenda buguruni tu au tazara