Natafuta mayai ya bata mzinga

gayo

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
238
93
Ndugu mfugaji/msomaji, ninahitaji mayai ya bata mzinga kama 15 hivi ambayo yanafaa kwa uzalishaji

Kwasasa nipo dar kama unayo tafadhali ni PM

Asante
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom