Nasri Julius
Member
- Apr 23, 2017
- 27
- 4
Naombeni mnisaidie kupata mawasiliano ya chuo cha ufundi veta Chang'ombe kwaajiri ya kujiunga na masomo kozi ya umeme jamani kwa yeyote anayeweza kunisaidia nikapata plz.
Heshima Mkuu!Naombeni mnisaidie kupata mawasiliano ya chuo cha ufundi beta chang'ombe kwaajir ya kujiunga na masomo kozi ya umeme jamani kwa yeyote anayeweza kunisaidia nikapa plz nitafute kwa no 0688474618
Naomba namba za msajir WA chuo cha ufundi veta chang'ombe anisaidie niko mbali na nahitaji nijiunge na mafunzombona chang'ombe kuna chuo cha ufundi VETA...
Kijana usiwe na pupa,sio lazima uje usomee hapa veta dar,mbona mikoani wana vyuo kila mkoa na wilaya,halafu sio lazima usome veta pekee,kuna vyuo vya private wanatoa kozi za umeme na wapo vizuri kiufundishaji tofauti na veta,Naombeni mnisaidie kupata mawasiliano ya chuo cha ufundi veta Chang'ombe kwaajiri ya kujiunga na masomo kozi ya umeme jamani kwa yeyote anayeweza kunisaidia nikapata plz.
Miaka na miaka ndo mingapi mkuu? Samahani lakiniKijana usiwe na pupa,sio lazima uje usomee hapa veta dar,mbona mikoani wana vyuo kila mkoa na wilaya,halafu sio lazima usome veta pekee,kuna vyuo vya private wanatoa kozi za umeme na wapo vizuri kiufundishaji tofauti na veta,
Ushaidi ni mimi hapa nilisoma chuo cha ufundi tofauti na veta,na mpaka sasa nipo katika ajira karibia miaka na miaka
Ni tangu nimalize chuo mpaka leo nipo kwenye ajira ndo maana yangu iyoMiaka na miaka ndo mingapi mkuu? Samahani lakini