Wakuu nahitaji kununua matairi ya gari ni yapi yaliyo Bora Kwa uimara. Mimi ninafikiria Bridgestone but kuna mengine yenye caliber ya Bridgestone na bei ipo chini kigodo! Mwawazo yenu ktk hili
Tairi zote ambazo sio mchina ni nzuri sana ila gharama yake ni kubwa kidogo kulingana na hizi za mchina na zinadumu sana hivyo nunua Bf Goodrich ,Dunlop, Yokohama, Goodyear, nk