Natafuta mashine za kumenyea ndizi mbichi

Yanaenda mkuu Tena sana.

Mafanikio yapo na challenges zipo
Wewe ni kijana Mpambanaji sana! Ni suala tu la muda kuwa kama Bakhresa. Vipi na kwenye ile sekta yetu ya udalali wa magari, viwanja na nyumba! Bado unaendelea?
 
Wewe ni kijana Mpambanaji sana! Ni suala tu la muda kuwa kama Bakhresa. Vipi na kwenye ile sekta yetu ya udalali wa magari, viwanja na nyumba! Bado unaendelea?
Asante kwa kunitia moyo ndugu yangu, japo kuwa kama Bakhressa is a process๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Ile sector ya kujiongezea cha juu bado ninayo boss wangu
 
Wenzio hawamejagi wanatumia hivyo hivyo hata matango[emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ