Habari wandugu Nataka kufungua dry cleaner Mwenye uzoefu wa hizi mambo naomba anipe hata hints kidogo natakiwa mashine ngapi naweza kuzipata wapi na ghalama zipe.. Nataka kufungua maeneo yenye baridi Kali na Vumbi kwa hiyo Vitu vizito vizito ndo mashine nazitaka zenye kumudu hivyo