Yoyote mwenye kufahamu wapi ninaweza kupata mashine mpya ya kupima vipimo mbalimbali vya afya(Magnetic Quntum Analyzer), na bei yake anitaarifa, hasahasa kama zinapatikana Arusha, Moshi na Dar.

Kaka Hippocratessocrates naomba msaada wa hii mashine anayoitafuta huyu jamaa kama inatambulika kwenu ninyi madaktari. Inanipa shida jinsi inavyoweza kupima karibu kila kitu including minerals, electrolytes, hormone levels, bone density, n,k na inatoa ushauri yenyewe nini kifanyike. Interestingly hutolewi hata tone la damu