Shukurani mkuu mimezunguka bila matanikioOk,
Pia jaribu kuzunguka kwa mafundi unaweza kuta zile zilizopasuka kioo watu wamezitelekeza lakini mother board nzima.
huo mkanda mweupe kama wa dvd .AV hii ni za pini.kwani hiyo ni tcl mtumba au dukani
angalia hapo juu nimekujibuMi natafuta mashine ya Star X inch 32
Ndiyo Kama picha inavyoonekana jumba linakuwa Kama rangi nyeupekuna jamaa anayo kailazimishia kwenye kioo kingine imegeuza picha.mkuu si ndiyo zile zinakuwaga nyeupe jumba lake?
Sent using Jamii Forums mobile app