Natafuta mashine ya coconut husks shreading

emmarki

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2012
Posts
1,055
Reaction score
1,529
Habari.
Niko kisiwa cha mafia, kutokana na zao kuu kisiwa hiki kuwa ni nazi. Nazi zikishabanguliwa "kuvuliwa ganda la nje, mara nyingi haya maganda hutupwa na kuchomwa moto.

Natafuta mashine ya kusaga hayo maganda kwa hapa tanzania ili niweze kupata unga nitaotengenezea coco peat kwa ajili ya kilimo.
 

Attachments

  • images (7).jpeg
    36.2 KB · Views: 16
  • images (6).jpeg
    39.3 KB · Views: 14

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…