Wakuu kwa mwenye mashamba au information yoyote ya mtu anayeuza mashamba maeneo ya Kibaha au Mkuranga,tafadhali naomba ani pm namba zake kwa mawasiliano zaidi.
Ukubwa wa mashamba hayo uwe kuanzia hekari 30 na kuendelea.
Sihitaji mashamba yenye hati ya serikalini,mauziano yatafanyika ofisi za serikali za kijiji husika.
Natanguliza Shukrani.