Nahitaji shamba lenye ukubwa wa ekar 1 kwa ajili ya shughuli za ufugaji...kwa wale wanaofaham maeneo ambayo mashamba yanauzwa kwa hapa morogoro msaada wenu tafadhali
Habari wana JF....nahitaji shamba lenye ukubwa wa ekar 1 kwa ajili ya shughuli za ufugaji...kwa wale wanaofaham maeneo ambayo mashamba yanauzwa kwa hapa morogoro msaada wenu tafadhali