Natafuta Marketing Agents

Natafuta Marketing Agents

nyamata07

Member
Joined
Jun 7, 2016
Posts
59
Reaction score
16
Natafuta marketing agents,, wawe na vigezo vifuatavyo
1.Awe amemaliza form six na anajua kutumia lugha ya kiingereza na Kiswahil
2.Awe mchangamfu,, mwenye lugha za biashara ya ushawish na mchapakazi
3.Awe flexible kufanya kazi kwa ufasaha na ufanisi zaid,

Kwa yeyote atakaye kuwa interested anifuate inbox tafadhal.
 
Duh nna mdogo wangu ila kakosa sifa moja tu happ
 
Back
Top Bottom