Natafuta Marine board za kukodi kwa bei nafuu

Natafuta Marine board za kukodi kwa bei nafuu

rodgers123

Senior Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
180
Reaction score
152
Wandugu!

Kuna yeyote anajua wapi naweza kukodisha marine board kwa bei nzuri.
Na wanakodisha kwa bei gani..? Nataka kama sqm 100 hivi.
Pia Mirunda kama ipo pia naomba contact nayo ningependelea kukodisha.
 
Back
Top Bottom