M Mr General Member Joined Mar 26, 2014 Posts 22 Reaction score 1 Apr 5, 2014 #1 Mimi ni kijana mwenye umri wa 21 natafuta marafiki.
nkungwe123 JF-Expert Member Joined Mar 17, 2014 Posts 444 Reaction score 95 Apr 5, 2014 #2 Wa sifa na jinsi zipi? Mtaani kwenu hakuna watu?
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,704 Reaction score 48,140 Apr 5, 2014 #3 Utafanikiwa vuta subira
Logikos JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 17,572 Reaction score 27,317 Apr 5, 2014 #4 Mwambie Fid Q akupatie japo wachache sababu yeye alisema haitaji marafiki
Nokia83 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 24,643 Reaction score 44,371 Apr 5, 2014 #5 Umepata marafiki
jembe afrika JF-Expert Member Joined Jan 15, 2014 Posts 7,602 Reaction score 3,781 Apr 5, 2014 #6 Nenda kwenye bunge la katiba utapata marafiki.