Kiukweli mkuu huna haja ya kupoteza muda wa mtu kukupigia simu kwa ajili ya kuthibitisha maombi ya urafiki labda tu kama unataka simu yako ionyeshe wewe ni mtu maharufu na simu yako iko hewani muda wote ikiwasiliana na watu mbalimbali kwa maana ya( busy) ukienda buguruni au pale club ambiance sinza phone book yako inajaa marafiki kwa dakika tano tu kabla haujafika sansilo na meeda au magomeni mitaa ya kwa macheni
Sasa shida yako huna usafili au?
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums