31 yrs old unatafuta marafiki wa kuchart? Lazima unaish kwa shemeji wewe
Una miaka 31 tangu uanze kuishi dar au umri wako ndio miaka 31?Habari,
Kwa jina naitwa Johnson na miaka 31 naishi Dar.
Natafuta marafiki wakike wa kubadilishana mawazo na kushauriana.
Wenye umri wa miaka 18-32.
Mwaka huu tarehe 17 April uliweka bandiko unahitaji mke wa kukuzalia mtoto na ukaandika kuwa una umri wa miaka 28,leo tarehe 15 july umefikisha umri wa miaka 31.
Kwahiyo ndani ya miezi mitatu umeongezeka umri wa miaka mitatu.kwa maana hiyo itakapofika this time next year utakuwa na miaka 43.
Hakika wewe ni kiumbe wa ajabu zaidi ya sana.

Ha haa!! Thats why I love JF. Imejaa vichwaMwaka huu tarehe 17 April uliweka bandiko unahitaji mke wa kukuzalia mtoto na ukaandika kuwa una umri wa miaka 28,leo tarehe 15 july umefikisha umri wa miaka 31.
Kwahiyo ndani ya miezi mitatu umeongezeka umri wa miaka mitatu.kwa maana hiyo itakapofika this time next year utakuwa na miaka 43.
Hakika wewe ni kiumbe wa ajabu zaidi ya sana.
Nina wasiwasi huenda akaja na bandiko lingine hapa akisema yeye ni binti na anatafuta mchumba.Hahaaa una keep record umetisha
Anatuchanganyia mlenda na pilau hapa!Ha haa!! Thats why I love JF. Imejaa vichwa
Karibu.Mkuu uko vizuri,big up sana