Tafadhali sana natafuta marafiki wa kuchat nao
Oh sorry wadau nilifikiri nimeandika kwenye jukwaa la chit-chat lol!
Oh sorry wadau nilifikiri nimeandika kwenye jukwaa la chit-chat lol!
jamani huyu binti anatafuta wa kuchati kimwili au mbona yuko uchi
we umeona uchi hapo?...dar joto!