Natafuta marafiki wa kike na kiume

Natafuta marafiki wa kike na kiume

AMADOGO

Senior Member
Joined
Jul 1, 2015
Posts
108
Reaction score
79
Mimi ni mama wa miaka 32 nafanya kazi kwenye shirika la umma, natafuta marafiki wa kike na kiume wa kuchat nao. Umri kuanzia miaka 32 na kuendelea
 
duh haki ya mungu kuna siku yesu atarudi kwakweli maana huuu utanda waz
 
Mimi ni mama wa miaka 32 nafanya kazi kwenye shirika la umma, natafuta marafiki wa kike na kiume wa kuchat nao. Umri kuanzia miaka 32 na kuendelea

Mimi hapaaaaa:thumbup:
 
Mimi ni mama wa miaka 32 nafanya kazi kwenye shirika la umma, natafuta marafiki wa kike na kiume wa kuchat nao. Umri kuanzia miaka 32 na kuendelea

please mama, na sisi viserengeti-boy utufikirie. nasisi tunajua 'ku-handle' na 'ku-care''. So msitubague saaana kiivo, mnakosea jamani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom