Nashangaa tu mie, unatafuta mchumba songea, unatafuta rafiki jf. Aisee!! Lakini vizuri
Hujambo binti..
Mmh!
Marahabaaaaa, nimekumithiiiiiiii....
Atheee!!!!!
Yan we acha tu..
Niache nin sasa lol!
Usitake kujua nimekumisije, unaweza ukaharibu siku ako jion hii..
Ila isije tukawa tunamharibia mtu uzi wake apa, ntakutafuta kungine.
Hapa penyewe nilitaka kukuitia mtoa uzi aone unavyochafua uzi wake. Mtu kaweka mingo zake wew unaleta tongozonino.
teh teh.... nmesoma alama za nyakati mapema, hope haez kunimaindi..lol
Hebu kaa pembeni ndege wa mwenzio wapite, wew ukitaka kaanzishe uzi wako.
teh teh...haya binti yameisha, acha nipite!
Msalimie mleta uzi.
Si umempita kwanin hujamsalimia???