kingi mweuc
JF-Expert Member
- Sep 22, 2015
- 266
- 73
Na we kua playboy iwe bila bila
wewe ndo una tatizo mkuu kwasababu bado upo tied to your past huja get over bint aliekukimbia ili aolewe na pia it seems hata ukiwa na mpenzi hua huonyeshi ishara zozote za kuoa...
mind you: wanawake wengi sio wote wanapenda kuolewa tena kwa harusi ko jichunguze.
na kua husband material hakupimwi kwa kutolala na wanawake wanao jilengesha kwako tu kuna vitu vingi sana mkuu ko piga moyo konde...
labda nikuambie tu sina tabia ya uasherati au uzinzi, ni mkristo ninayejielewa na nina hofu ya Mungu sijawahi kushiriki ngono na gal ambaye hatujawa na agreement maana natambua tendo la ndoa ni ibada huambatana na mkataba hivyo unaweza ukajikuta umeingia katika mkataba usiouelewa.....
Shukuru kwa kidogo unachopata........ Tupo wenzio hata hiyo punani tumeshaisahau
we mwenyewe ni dhairi sio material Man, sasa utapataje material wife? Jitathmini kwanzaNi mwaka wa pili sasa nipo single toka nilipoachana nampenzi wangu akakimbilia kuolewa.
Sasa nimekuwa nikitafuta msichana mwenye mapenzi na upendo wa dhati tokea moyoni yaani hawapatikani zaidi naambulia ngono.
Kinachonishangaza zaidi ni wepesi wa wasichana kugawa tunda tena bila hata agreement yeyote ile, imefika sasa nahitaji material wife hapatikani wengi wapo tayari kujirahisisha kugawa hovyo tena bila tahadhari juu ya afya zao.
Sielewi mabinti wa leo mnapoelekea.