Natafuta mapenzi ya kweli, lakini sipati!

Natafuta mapenzi ya kweli, lakini sipati!

prince22

Senior Member
Joined
May 8, 2015
Posts
188
Reaction score
217
Ni mwaka wa pili sasa nipo single toka nilipoachana nampenzi wangu akakimbilia kuolewa.

Sasa nimekuwa nikitafuta msichana mwenye mapenzi na upendo wa dhati tokea moyoni yaani hawapatikani zaidi naambulia ngono.

Kinachonishangaza zaidi ni wepesi wa wasichana kugawa tunda tena bila hata agreement yeyote ile, imefika sasa nahitaji material wife hapatikani wengi wapo tayari kujirahisisha kugawa hovyo tena bila tahadhari juu ya afya zao.

Sielewi mabinti wa leo mnapoelekea.


huu uzi wengi wanauchangia kiushabiki kulingana na jinsia. ieleweke sijaweka background yangu hapa, wala sijasema kilichopelekea nikabreak na x gal wangu. labda tu ieleweke mimi sio kicheche wala Malaya najitambua na nina hofu ya Mungu. sijawahi kuzini na gal anayejirahisisha na huwa ninawakwepa sana. Najiamini sana kuwa mm ni material husband... Hitajio la moyo wangu sio ngono bali true luv
 
Si ndio hao "material wife" unawapata sasa. Au we unataka material gani tena zaidi ya wanayokupa?
 
Ni mwaka wa pili sasa nipo single toka nilipoachana na gal wangu akakimbilia kuolewa..
sasa nimekuwa nikitafuta msichana mwenye mapenzi na Upendo wa dhati tokea moyoni yaani hawapatikani zaidi naambulia ngono. kinachonishangaza zaidi ni wepesi wa wasichana kugawa tunda tena bila hata agreement yeyote ile.. imefika sasa nahitaji material wife hapatikani... sielewi mabinti wa leo mnapoelekea

Tatizo lipo hapo...........
 
Ni mwaka wa pili sasa nipo single toka nilipoachana na gal wangu akakimbilia kuolewa..
sasa nimekuwa nikitafuta msichana mwenye mapenzi na Upendo wa dhati tokea moyoni yaani hawapatikani zaidi naambulia ngono. kinachonishangaza zaidi ni wepesi wa wasichana kugawa tunda tena bila hata agreement yeyote ile.. imefika sasa nahitaji material wife hapatikani wengi wapo tayari kujirahisisha kugawa hovyo tena bila tahadhari juu ya afya zao.. sielewi mabinti wa leo mnapoelekea

mkuu kwa hapa kwetu sijui watu wamekuaje,yaani bila pesa huwezi pata kabisa("labda kwenye tamthilia za ufilipino tuu ndo mi naona"ila sijui kama nako kuna ukweli.
 
Sasa unaenda kimboka alaf unategemea upate wife material?
 
hahaha! nenda kanisani bro,mke mwema atoka kwa bwana.
 
Kijana ni laana kubwa kusema wife material hawapatikani.

Wife materials wapo wengi tuu hujatuliza akili katika kutafuta mtu makini unaye mhitaji.

Jaribu kutanguliza maombi mbele kwanza juu ya mtu umtakaye ukiwa na imani, na kuheshimu maadil ya Mungu utampata wa dhati kabisaa

Sio lazima upate mwenye asilimia 100 ya unayemhitaji, ila unauwezo wa kupata atleast mwenye vigezo vichache alaf kama ni mtu unayeweza kumbadilisha anabadilika kabisa ukiwa na nia.

Pia wewe jiangalie je? Ni real husband material?

Ukiwatafuta wa ngono utawapata wa ngono, ukimtafuta wife utampata

Uamuz ni wako
 
Shukuru mungu kaka,tena acha uasherati kabisa utampata mwenza wa maisha! Wenzio waliojifanyaga viboloika sahivi wanaishi kwa nguvu ya dawa mkuu...tek care!

labda nikuambie tu sina tabia ya uasherati au uzinzi, ni mkristo ninayejielewa na nina hofu ya Mungu sijawahi kushiriki ngono na gal ambaye hatujawa na agreement maana natambua tendo la ndoa ni ibada huambatana na mkataba hivyo unaweza ukajikuta umeingia katika mkataba usiouelewa.....
 
sumbai asante kwa ushauri wako mzuri asee ila tatizo ni kuwa majority hawaeleweki kabisaaa. yaani ni kweli nisemacho.
 
Last edited by a moderator:
Kwanza ukianza kuwa materia husband basi unaweza kupata material wife mkuu
 
Tena kuwa makini wenzako wamenyang'anya wake za watu, kuna jmaa namjua na usomi wake kachukua mke wa ndg yk tena alikuwa na watoto 3, na yy kazaa nae ni vituko cjawahi ona, !!!!!
 
Ni mwaka wa pili sasa nipo single toka nilipoachana na gal wangu akakimbilia kuolewa..
sasa nimekuwa nikitafuta msichana mwenye mapenzi na Upendo wa dhati tokea moyoni yaani hawapatikani zaidi naambulia ngono. kinachonishangaza zaidi ni wepesi wa wasichana kugawa tunda tena bila hata agreement yeyote ile.. imefika sasa nahitaji material wife hapatikani wengi wapo tayari kujirahisisha kugawa hovyo tena bila tahadhari juu ya afya zao.. sielewi mabinti wa leo mnapoelekea

Mimi hapa anko wife material,tuwasiliane
 
usilolijua ni kama usiku wa giza...

Macho yanaona mbali lakini ni vigumu sikio kuliona.
Usidhani kuna tatizo jipya duniani maana jangwani pana kishimo cha maji kwa wasafirio ktk ukame.
 
Unaowapata ndo wa aina yako. Badilika na utaona mabadiliko
 
Ww ndo mwenye matatizo alafu tatizo lako unafata masistaduu fata wanawake wenye heshima zao familia zilizokulia ktk mising ya kidini sio unavaba jitu hulijui eti kisa anahipsi sjui anatembea km hakanyagi ardhi au domo zege ww ushazoea kuku wakizungu maana ukitaka kumkamata hata kukupa tabu hakupi lipo tu
 
Back
Top Bottom