Natafuta mafundi cherehani

Bi.com

Member
Joined
Apr 21, 2015
Posts
46
Reaction score
15
Ninazo fremu zangu na cherehani kama ishirini hivi.

Natafuta mafundi ili tufanye kazi. Pia naplan kufungua chuo cha kufundisha wanafunzi kushona, nahitaji wafanyakazi.

NiPM tuongee.
 
nyoosha maelezo unatafuta mafundi cherehani wa kukutengenezea vyerehani au unatafuta mafundi wa kushona nguo.....
 
Kaka nicheki hapa kuna fund ni mzur sana wa nguo Za aina zote 0657319196
 
Natafuta fundi mzoefu wa kushona nguo aina zote, nataka kuanzisha tailoring mart. So nahitaji fundi wa kukaa naye akanipa mwongozo ili twende pamoja.
 
Natafuta fundi mzoefu wa kushona nguo aina zote, nataka kuanzisha tailoring mart. So nahitaji fundi wa kukaa naye akanipa mwongozo ili twende pamoja.
Mnapatikana maeneo gani ,, mkpa gani?
 
Jamani ni nani mwenye kuhitaji fundi wa kushona nguo za kike,kuna bint yupo vizuri katika ushonaji,yupo dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…