Natafuta maduka ya vifaa vya saloon za kiume yalipo; anyejua anisaidie | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta maduka ya vifaa vya saloon za kiume yalipo; anyejua anisaidie

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Danniair, Jan 1, 2012.

 1. D

  Danniair JF-Expert Member

  #1
  Jan 1, 2012
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 361
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nahitaji msaada kwa yeyote anayejua yalipo maduka ya vifaa vya saluni za kiume anijulishe yalipo. Nahitaji viti vya kuzunguka, mashine za kunyolea na vifaa vingine. Asante.
   
 2. D

  Danniair JF-Expert Member

  #2
  Jan 1, 2012
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 361
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nahitaji msaada kwa yeyote anayejua yalipo maduka ya vifaa vya saluni za kiume anijulishe yalipo. Nahitaji viti vya kuzunguka, mashine za kunyolea na vifaa vingine. Asante.
   
 3. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #3
  Jan 1, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,972
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Pale faya gapco petro steshen vuka barabara itakayo muhimbili kwenda kariako .petro steshen inatazamana ya yadi ya magari,baada ya yadi ya magari gorofa la mbele yako lipo duka lina kila kitu kuanzia viti,sterilazer,mashine etc
   
 4. raia tz

  raia tz Member

  #4
  Jan 1, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 91
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu kuna jamaa wapo fire.I think ni karibu na petrol station ya oryx.jina ni kama vile radium saloon(labda nimekosea jina).but jaribu those places.
   
 5. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #5
  Jan 1, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  Yes, kama unatokea traffic light za fire kuelekeea kariakoo mkono wa kulia kuna yadi ya magari,baada ya hapo pinda mtaa wa kulia hilo duka lipo hapo na vifaa vya kichina
   
 6. g

  goodlucksanga Senior Member

  #6
  Jan 1, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  anyejua ndo nini?
   
 7. D

  Danniair JF-Expert Member

  #7
  Jan 1, 2012
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 361
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Asanteni sana kwa maelekezo. JF oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 8. D

  Danniair JF-Expert Member

  #8
  Jan 1, 2012
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 361
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Thanx my dia. JF oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 9. kende

  kende JF-Expert Member

  #9
  Apr 19, 2014
  Joined: Dec 2, 2013
  Messages: 3,478
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 135
  Nahitaji mashine ya kunyolea nadhan maelezo ya hapo juu yatanisaidia kuipata
   
 10. Going Concern

  Going Concern JF-Expert Member

  #10
  Apr 19, 2014
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 935
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  mkuu sio saloon ni Salon.... haya maneno yanazingua sana watu
   
 11. jaqfantasy212

  jaqfantasy212 JF-Expert Member

  #11
  Apr 19, 2014
  Joined: Dec 17, 2012
  Messages: 549
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!
   
 12. M

  Mchakatoh JF-Expert Member

  #12
  Apr 19, 2014
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 257
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Anaejua Mwanza duka lilipo LA vifaa vya barber Shop tafadhali!!?
   
 13. k

  karibu kwetu New Member

  #13
  Apr 19, 2014
  Joined: Apr 18, 2014
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka usi kariri hayo maneneno yote ni sawa moja ni american na nyingine british language
   
Loading...