Natafuta maduka na supermarkets za kuwauzia bites/cookies

MOMPRENEUR

Senior Member
Jun 18, 2016
193
126
Kama kilivo kichwa cha habar hapo juu.Mie ni muandaaji wa bites kama queen cakes,min biscuits,halfcakes,visheti etc.Tena kwa bei poa kabsa.Kama una duka lako au supermarkets ntafrahi sana endapo ukinipa tenda ya kukuuzia bites zangu.Napatkana Dsm.
 
Natamani hata ningepata vitafunwa kama viazi vitamu, mihogo lakini vikiwa vimeongezwa thamani
 
Natamani hata ningepata vitafunwa kama viazi vitamu, mihogo lakini vikiwa vimeongezwa thamani
Nauza vitafunwa hivyo mkuu
Naweka viazi/ miogo, Kisamvu cha Nazi/karanga na samaki aliokaangwa pembeni kwa tsh 3000 tu contena moja nasambaza siku za wiki tu 0714547830
 
Weka picha basi
c87180eb009d46f4bc5165f84d4f3d4d.jpg
2196ff01e586b0dd4e41d6fdd2650d6f.jpg
42ca99ae861784811ac879196e062e8e.jpg
7df3e1f9fd6f961d84966e871c86b2ea.jpg

Hivo ni baadhi tu mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom