Hello,
Natafuta Macbook Air. Kama unayo ipo kwenye hali nzuri na ina reasonable Price naomba uni-PM.
Specification ikiwa na HDD ya 500+ na RAM ya 4+ itakuwa poa, Otherwise unaweza kunicheck tu hata kama Specifications zako zipo juu au chini ya hapa.
Thanks
Chief