Natafuta lodge jirani na Kisenga LAPF conference centre

kituli one

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2014
Posts
410
Reaction score
312
Wakuu habarini,jumatatu ntakua Dar kuna semina ntafanyia ukumbi tajwa hapo juu,nina mtoto mchanga ninaomba msaada wa kuelekezwa lodge nzuri iliyo jirani na Kisenga na yenye bei nzuri ili nifanye booking mapema.

Budget yangu ni sh.elfu 20000 hadi elfu 30000.Ahsanteni sana.
 
Lodge nzuri 20,000? Andaa 50,000 ukakae Mesuma Plus karibu na Makumbusho stand
 
Nenda Makumbusho Kuna lodge za bei hiyo ila ukubali bila masharti ya nzuri sijui Nini.
 
Sio vema kumlaza mtoto mchanga kwenye lodge za bei rahisi hvo mkuu.
 
Wakuu habarini,jumatatu ntakua Dar kuna semina ntafanyia ukumbi tajwa hapo juu,nina mtoto mchanga ninaomba msaada wa kuelekezwa lodge nzuri iliyo jirani na Kisenga na yenye bei nzuri ili nifanye booking mapema.

Budget yangu ni sh.elfu 20000 hadi elfu 30000.Ahsanteni sana.
Duh niliogopa nikadhani unataka ukafanye yako
 
Back
Top Bottom