Natafuta line ya tigo pesa

Natafuta line ya tigo pesa

alikhalef

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2012
Posts
717
Reaction score
75
nafatuta line ya tigo pesa yenye masharti yafuatayo:-
  • niweze kusajili kwa jina langu
  • isizidi bei 600,000/=
call 0779420000
 
tafuta kwanza kuna link kibao wanauza hzo line search kwanza unaweza ukapata
 
nafatuta line ya tigo pesa yenye masharti yafuatayo:-
  • niweze kusajili kwa jina langu
  • isizidi bei 600,000/=
call 0779420000

Kuwa mwangalifu wauzaji wengi humu ukimwambia mkabadili jina wengi wanaleta utata, kuna wawili nimewapata kwa 600,000 wanasema jina wanakubalishia week 2 baada ya kuuziana si utata huo?


Sent from my iPhone
 
Back
Top Bottom