iryn alphonce
Member
- May 15, 2014
- 49
- 8
Jamani natafuta laptop nzuri kwa bei nzuri na uwezo mzuri, hata kama ni used, naomba tuwasiliane
Natafuta laptop nzuri yenye uwezo mzuri na bei nzuri hata kama ni used ili mradi iwe inapiga kazi, tuwasiliane kwa yeyote anayeweza nisaidia
Jamani natafuta laptop nzuri kwa bei nzuri na uwezo mzuri, hata kama ni used, naomba tuwasiliane
Hp probook 4320t
Hard disk 500Gb
Ram 4Gb
Processor 2.3Ghz i5
Used in canada
Zipo 17pcs
Bei 550, 000/= bei haipungui tunauza bei poa tunataka tulete mzigo mpya faster.
Cal 0779420000
Unapatikana wapi kiongozi
Unapatikana wapi kiongozi
Halafu hard disk nimekosea sio 500Gb bali ni 600Gb
marekebisho gani hasa hayo mkuu?mkuu ninayo but inahitaj marekebisho ya 65elf,kama unahitaji nipe lak tu ukaichukue kwa fundi.ni hp compaq 6515b 2gb ram,80gb hdd, w7 ultimate,
Halafu hard disk nimekosea sio 500Gb bali ni 600Gb
ipo hp 4gb ram i3..... 500 tu 0713774746