Mkuu mie naomba nikushauri kitu maana nimeona huna mahitaji mazito ya PC
Tafuta PC yenye sifa hizi ila isiwe DELL D series yani from D600,610,620,630 hadi 800 coz hazina mvuto wa Taswira na ku upgrade kwake ni mtihani hasa kama unataka kufanya upgrade ya Hard disk,ram,Rom nk
Specifix
Brand : HP au Compac though huwa mara nyingi DVD rom/writer zake huwa zinakuja kusumbua baadae
: Acer haina shida
: Sony haina shida
: Dell aina nyingine tofauti na nilizotaja hapo juu.
: Na kadhalika kama Samsung etc
Processor : Duo Core maanake kwenye Core I processor bei itakua kubwa hata kama ni mtumba
Processor Speed : not less than 2.0 GHZ
Ram : 2GB and above
Hard Disk : 250 GB and above - Hapo achana na ma external hard disk maybe kama utaitaji space in future au kumove na vitu pia unaweza kununua na bei yake ni separate kabisa. 320GB kwa 105,000/= na 500GB kwa 115,000/= hadi 120,000/=
Screen size : inch 15
Price range ya PC hizo nilizotaja hapo ukitoa dell hizo ambazo unaweza kupata kuanzia laki 250,000/= hadi 400,000/= hizo D series ambazo ckushauri ndugu yangu ununue.
kwa urahisi kwenye mitumba unaweza kupata HP au Compaqn kwa range ya laki 500-580.
kama watu wakizingua na unaishi Dar nenda duka moja la wajapani lipo Opposite na Freedom Shop ambayo ipo Samora Jengo la Harbour View Tower zamani ilikua inaitwa J Mall. utapata laptop kwa bei nzuri. achana na wasomali wa Kariakoo watakuuzia mi dell hiyo.