Natafuta laptop

Ndugu kabla sijakujibu napenda nikuulize swali,unahitaji laptop ya kufamyia shughuli gani,kisha utapata bei nzuri inayoendana na hyo laptop
 
Ndugu kabla sijakujibu napenda nikuulize swali,unahitaji laptop ya kufamyia shughuli gani,kisha utapata bei nzuri inayoendana na hyo laptop

mahitaji yako ndio yataamua ipi nzuri, ni vyema ukatueleza wewe ni user wa level ipi na unaihitaji kwa kazi zipi

Kweli umekutana na waungwana.....la sivyo majibu ambayo ungepata hapa huenda usingerudi.......kwani swali lako halijakamilika..ni sawa na mtu akuulize Gari zuri sana linaweza kuwa sh. ngapi? lazima utajiuliza maswali mengi...ni la kufanyia nini? so tuambie Laptop yako ni ya kufanyia nini?....
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…