Jamani habari zenu wanajamvi
Nilikuwa natafuta laptop hdd500 nakuendelea, ram 4 na 8 ,procer speed 2.1 ghz aina ya rama intel core i5 na kuendelea iwe nzuri betri iwe poa iwe nauwezo hata wakukaaa masaa matatu na zaidi
KIWANJA KINAUZWA-KIPO KIGAMBONI KIMEPAKANA NA KIDETE SECONDARI.KINA UKUBWA WA EKAR MOJA(1).UMBALI KUTOKA KWENYE PANTONI NI 10KMS.HAKIJAPIMWA.UMBALI TOKA BARABARA YA LAMI INAYOTOKEA FERY HADI HAPO KWENYE KIWANJA NI KAMA METER 200. BEI NI SHS MIL 35.BEI INAPUNGUA.SIO MBALI KUTOKA BAHARINI.MAWASILIANO 0767-61 00 68