castieltsar
JF-Expert Member
- Jun 3, 2016
- 1,793
- 3,212
nicheki kwa namba 0676040772.Jamani habari zenu wanajamvi
Nilikuwa natafuta laptop hdd500 nakuendelea, ram 4 na 8 ,procer speed 2.1 ghz aina ya rama intel core i5 na kuendelea iwe nzuri betri iwe poa iwe nauwezo hata wakukaaa masaa matatu na zaidi
bei ganiMie Nina lenovo...LENOVO G500,RAM 2GB,proceccer 1.90GHz,inatumia program nyingi...except final cut....iko full package kwa program...now INA window 10
Mkuu, Mpya au used... Kwa Bei hiyo si bora nikanunue Mpya.. Tena yenye specifications zaidi ya hizo zako..650000\600000
ni kweli kwa bei yake hiyo unanunua mpya na yenye specs kubwa kuliko hiyo yake!!!!!Haya kanunue mpya hii used ....ingawa ilikuwa haitumiki marakwamara....nani toleo LA kwanza
Yapu sijakataa....mkuu...inategemea mtu unahitaji kitu gani nani kwasababu ganini kweli kwa bei yake hiyo unanunua mpya na yenye specs kubwa kuliko hiyo yake!!!!!
Nenda kaulizie bei kwanza ya mpya alafu rudi na mrejeshoMkuu, Mpya au used... Kwa Bei hiyo si bora nikanunue Mpya.. Tena yenye specifications zaidi ya hizo zako..
Nenda kaulizie madukani ila itaanzia kwenye m...kuendelea ama sivyo Fanya mpango MTU akununulie Zanzibar au Nje..unaweza pata kwa bei poaNijulshe nahitaj Laptop Ram zaid ya 8gb 1Tb internal. Graphic kubwa kwa arctecture.
Ata kesho naweza lipia km ipo
Jamani habari zenu wanajamvi
Nilikuwa natafuta laptop hdd500 nakuendelea, ram 4 na 8 ,procer speed 2.1 ghz aina ya rama intel core i5 na kuendelea iwe nzuri betri iwe poa iwe nauwezo hata wakukaaa masaa matatu na zaidi
kwani ukianzisha uzi wako inagharimu bei?KIWANJA KINAUZWA-KIPO KIGAMBONI KIMEPAKANA NA KIDETE SECONDARI.KINA UKUBWA WA EKAR MOJA(1).UMBALI KUTOKA KWENYE PANTONI NI 10KMS.HAKIJAPIMWA.UMBALI TOKA BARABARA YA LAMI INAYOTOKEA FERY HADI HAPO KWENYE KIWANJA NI KAMA METER 200. BEI NI SHS MIL 35.BEI INAPUNGUA.SIO MBALI KUTOKA BAHARINI.MAWASILIANO 0767-61 00 68
Nakucheki kakanicheki kwa namba 0676040772.