K KyelaBoy JF-Expert Member Joined Nov 9, 2008 Posts 206 Reaction score 22 Jun 1, 2013 #1 Nina jamaa yangu anahitaji laptop budget yake ni TZS 300,000/=,muhimu iwe inakaa na charge si chini ya saa mbili na kuendelea na HDD isiwe chini ya 320,unaweza wasiliana nami kwa Mob 0786 585 490 au uni PM ,nipo Dar ,mitaa ya Wazo Tegeta.
Nina jamaa yangu anahitaji laptop budget yake ni TZS 300,000/=,muhimu iwe inakaa na charge si chini ya saa mbili na kuendelea na HDD isiwe chini ya 320,unaweza wasiliana nami kwa Mob 0786 585 490 au uni PM ,nipo Dar ,mitaa ya Wazo Tegeta.