Natafuta laptop ya laki na nusu (150k)

Natafuta laptop ya laki na nusu (150k)

Turbo man

Member
Joined
Jul 25, 2021
Posts
8
Reaction score
4
Habari wana JF

Natafuta laptop kwa anayeuza laki na nusu.. iwe na vigezo vyote muhimu kwa aliye tayari kuuza..nipo Dar es salaam Ubungo.
 
Habari wana JF Natafuta laptop kwa anayeuza laki na nusu.. iwe na vigezo vyote muhimu kwa aliye tayari kuuza..nipo dar es salaam ubungo
Duh... siku hizi laptop zimeshuka thamani namna hii?

Yani laptop inazidiwa bei na Tecno zile za mabaamedi?

Kweli dunia inaenda kwa kasi sana

Kila la kheri mkuu
 
Laptop ya laki na nusu utapata zile mkate, hiyo unayotaka wewe towa 400k upate Mali safi acha ubahili wewe..
 
Kuna jamaa yangu anazo mini laptops used,zipo kwenye hali nzuri sana, ametoka nazo Dubai wiki mbili zilizopita ila anuza laki 2,ana ofisi Kariakoo mtaa wa Lindi karibu na Conrad hotel, ukihitaji nitakulink
 
Habari wana JF Natafuta laptop kwa anayeuza laki na nusu.. iwe na vigezo vyote muhimu kwa aliye tayari kuuza..nipo dar es salaam ubungo
Hahahahahaha....wewe unatafuta mdoli, sio laptop. Simu ya maana tu huwezi kupata kwa bei hiyo, sembuse laptop!!
 
Hahahahahaha....wewe unatafuta mdoli, sio laptop. Simu ya maana tu huwezi kupata kwa bei hiyo, sembuse laptop!!
150 anapata laptop ya kawaida sana kwa kusomea au wazee wa kuingiza nyimbo inafanya ila kama ni kwa ajili ya kufanya Grahics or programming lazma upande uanzie 400k au ukiwa ba 300k subiri vijana watoke chuo wafilie kidogo mtaana utapata kwa bei simple tu mm nilinunua kama 3 mwaka jana kwa 250k kila moja laptop zilizoenda shule nikazisukuma kwa 500k kila moja mbeya wilayan wkat wa mavuno.
Ukitulia utapata ila kama una haraka kupata ngumu
 
Mkuu mimi nanayo ila sijaitumia mda mrf kwshyo ukiinunua inabidi umuone fundi apige Windows
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom