Mkuu habariIpo Land cruiser KZJ 95 manul ni kali kabisa ina faa kwa kazi ya poli engine safi kabisa? Kama unataka ni PM
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu habariIpo Land cruiser KZJ 95 manul ni kali kabisa ina faa kwa kazi ya poli engine safi kabisa? Kama unataka ni PM
Sent from my iPhone using JamiiForums
ni 6mln hata nilishaambiwa hivo nikawa mwogaMkuu ml 60 au 6?? Maana hizo 30 hadi 100++
Remember, your mind is greatest asset.
Ni hivyohivyo m6 wala sijakosea.
Ok sawa nitakutumia.Mkuu, bado ipo ihiyo cruza? Nipm picha zake.
Ok sawa nitakutumia.
Nitajaribu kutafuta nikipata nitakujulisha.Poa kamanda wangu, niangalizie land cruiser pick up isizidi 15M....nitapata kamanda?
Nitajaribu kutafuta nikipata nitakujulisha.
kiendea porini= AKAVUNJA RUME (kwa kiarabu lakini)Naomba wasiliana naye akupe specification zake. Hiyo kitu ni dili sana. Ikiwa nzuri ntaichukua na wewe ntakupa kiendea porini