Kuna jamaa anauza hiyo Land cruiser kwa mil.6 yuko Mbeya. Ngoja nicheck namba yake ili uongee nae.
Ipo mkuu.Land Cruiser kwa 6M? ikoje hiyo, labda bajaji
Ipo mkuu.
Sawa nitafanya nae mawasiliano then nitakujulisha mkuu.Naomba wasiliana naye akupe specification zake. Hiyo kitu ni dili sana. Ikiwa nzuri ntaichukua na wewe ntakupa kiendea porini
Sawa nitafanya nae mawasiliano then nitakujulisha mkuu.
vip ulishafanya mawasiliano??Okay karibu
Mkuu ml 60 au 6?? Maana hizo 30 hadi 100++Kuna jamaa anauza hiyo Land cruiser kwa mil.6 yuko Mbeya. Ngoja nicheck namba yake ili uongee nae.
Ni hivyohivyo m6 wala sijakosea.Mkuu ml 60 au 6?? Maana hizo 30 hadi 100++
Remember, your mind is greatest asset.