Natafuta kuku wa kienyeji

Natafuta kuku wa kienyeji

Entreprenuare

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2019
Posts
1,616
Reaction score
1,735
Wakuu mambo vipi


Natafuta kuku wa kienyeji ( Matetea) kuanzia miezi 4,mbka 6 , ambao bado hawajaanza kutaga . nahitaji kumi kwanza, ila baada ya mda mfupi nitachukuwa wengi ..

Ofa yangu ni 10000 kila mmoja.

Mimi nipo ,Kimara korogwe, Dar es Salaam..

Kama unao nichek whatsapp 0654171555


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nenda vijijini kama kisarawe kama vp nilipie nauli nikupeleke
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom