Natafuta Makoko yanayoanza kutaga kwa bei kati ya shiling 5,000/= na 6,000/=.
Yasipungue makoko 40.
Napatikana kabuku Tanga, kwa yeyote alie karibu ama aliye dar na mwenye mzigo huo wa kutosha nipigie kwenye namba 0714639590.

Sio kwamba wadau hawana majibu, bei ndio tatizo kwa sasa kiwango cha chini kwa kuku anayetaga ni 10,000 bila kujadiliana hii ni bei ambayo mkulima anauza tofauti na wewe unavotaka kuku wa mayai 5000,6,000 ni vigumu kupata kwa bei hio