Natafuta Kiwanja

Natafuta Kiwanja

Alure

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2014
Posts
1,100
Reaction score
1,054
Natafuta kiwanja eneo la changanyiken au Makongo juu. Bajeti yangu milioni 15. Pia inategemea na eneo lilivyo.
 
Maeneo ya Kibada vipi ??
Kipo 1 heka. Welcome
 
Ok eneelea kutafuta mkuu kwa aina ya size ya kiwanja hicho huwezi kupata goba kwa bei ya milion nane

Maana ulisema hcho chako hata 14 huwez chukua
 
Hongera kwa kuwa na wazo la kutafuta heshima ya kifamilia na sioheshima ya baa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom